Higher Education Students' Loans Board
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya ma ........
Read More
1. Kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali ilianza kutoka mikopo kwa wanafunzi wenye sifa wanasoma stashahada (Diploma) za kipaumbele kwa Taifa ambazo zinatajwa kwa kina katika ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada kwa 2024/2025’ unaopatikana katika < ........
Read More
UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO
Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu c ........
Read More
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAARIFA KUHUSU FURSA ZA ‘SAMIA SCHOLARSHIPS’ KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha wanafunzi wanaoomba mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kusoma miongozo na kuizingatia ili kuepuka kuwasilisha maombi yenye makosa.
Katika mkutano wake na wanahabari leo (Alhamisi, Agosti 1, 2024), Mkurugenz ........
Read More