Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events


26
April 2024

Dkt. Kiwia Akutana na Msajili Hazina

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia, amekutana na Msajili wa Hazina, Bw. Nehemia Mchechu siku ya Alhamisi, April 25, 2024 katika Ofisi za Msajili wa Hazina jijini Dar es salaam kwa lengo la kujitambulisha kufuatia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji.

Katika kikao hicho, viongozi hao wawili walijadiliana masuala mbalimbali yanayolenga kuongeza ufanisi na tija kwa kuzingatia falsafa ya R4 ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.