Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

12
September 2025

BARAZA LA WAFANYAKAZI HESLB LAKUTANA MOROGORO

Lajadili maboresho ya utendaji na utatuzi wa changamoto za wafanyakazi

Baraza la Wafanyakazi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) limekutana leo mjini Morogoro kujadil ........

Read More
5
September 2025

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuufahamisha umma na wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu kuwa kumekuwepo na upotoshaji kutoka kwa ‘matapeli’ wanaowaelekeza wanufaika kulipa madeni yao kupitia akaunti za benki za watu binafsi.

Tunawaasa wanufaika wote kupuuza taarifa zinazotolewa na watu binafs ........

Read More
31
August 2025

TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO 2025/2026 YASOGEZWA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha  maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025.

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa ........

Read More
21
August 2025

ZIMEBAKI SIKU 10 KABLA YA KUFUNGA DIRISHA LA MAOMBI YA MKOPO NA 'SAMIA SCHOLARSHIP' KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

Zikiwa zimebaki siku kumi (10) kabla ya kufunga dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka 2025/2026, tunawakumbusha waombaji wa mikopo na ‘Samia Scholarship’ kwamba dirisha litafungwa tarehe 31 Agosti, 2025 na hakutakuwa na muda < ........

Read More
4
August 2025

Dkt. Kiwia awasili Mtwara kwa Ziara

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ( HESLB), Dkt Bill Kiwia leo ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara.

Baada ya kuwasili mkoani hapo alifika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala kumsalimu pamoja kumwelezea ma ........

Read More