Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events


6
January 2025

Dirisha la Maombi ya Mikopo ya Stashahada kwa 'March Intake'

Tunawatangazia wanafunzi wa stashahada watakaodahiliwa mwezi Machi (March Intake) kwamba dirisha la maombi ya mikopo ya stashahada litafunguliwa kuanzia tarehe 15/01/2025 hadi tarehe 15/02/2025.

Wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo katika maeneo matano ya kipaumbele na wanafunzi wengine wenye udahili (admission) kwenye programu hizi na sio wanufaika wanashauriwa kutumia fursa hii kuomba mikopo kwa kuzingatia programu zilizomo katika orodha inapatikana kwenye tovuti hii kwa jina la ORODHA YA PROGRAMU ZA STASHAHADA 2024/2025.

 

Imetolewa na:

Mkurugenzi Mtendaji

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

05/01/2025