Higher Education Students' Loans Board
HESLB inafanya tafiti tatu kupitia kitengo cha Mipango na Utafiti, kwa lengo la kukusanya maoni ya wateja na wadau kuhusu huduma zetu, ambapo tunakuomba uwasilishe maoni yako kwa njia ya mtandao kupitia kwenye ‘link’ hapo chini:
1. ‘CUSTOMER EFFORT ONLINE LINK (CES)’ - Kutathmini jinsi ilivyo rahisi au vigumu kwa wateja wetu kupata huduma zetu mbalimbali.
https://www.surveyhero.com/c/fu3ws4g7
2. ‘STAKEHOLDERS SATISFACTION (SSAT)’ - Kupima Kuridhika kwa wadau kwenye huduma zetu mbalimbali.
https://www.surveyhero.com/c/n9khm
3. ‘IMPACT OF LOANS ON HIGHER EDUCATION ACCESSIBILITY’
https://www.surveyhero.com/c/x3x9irki
NB: Tafiti zinatakiwa kujazwa na:
1. Wanufaika wa mikopo waliohitimu masomo
2. Waajiri walio na wanufaika wa mikopo - Lakini ni wale tu wanaorejesha mikopo kupitia Employer Portal (EPO)
3. Wanufaika wa mikopo wanaoendelea na masomo
4. MDAs- Hasa Utafiti wa Kuridhika kwa Wadau (SSAT)
5. Watoa Huduma - Hasa Utafiti wa Kuridhika kwa Wadau (SSAT)
6. Wasionufaika na Mikopo (Umma)