Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events


29
August 2024

TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA (DIPLOMA)

1.        Kuanzia mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali ilianza kutoka mikopo kwa wanafunzi wenye sifa wanasoma stashahada (Diploma) za kipaumbele kwa Taifa ambazo zinatajwa kwa kina katika ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Stashahada kwa 2024/2025’ unaopatikana katika www.heslb.go.tz;

2.       Hivyo, katika mwaka wa masomo 2024/2025 unaotarajiwa kuanza mwezi Oktoba, 2024, wanafunzi wenye sifa wanaendelea kuomba ili hatimaye kuwezeshwa kusoma kozi za stashahada;

3.       Kwa kuwa dirisha la kuomba mikopo kwa njia ya mtandao linakaribia kufungwa, (Agosti 31, 2024) tunawakumbusha kuwa stashahada zinazopewa kipaumbele ni zifuatazo:

       a. Health and Allied Sciences

           Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational Therapy, Physio therapy, Clinical Optometry, Dental Laboratory Technology, Orthotics & Prosthetics, Health Record & Information, Electrical and Biomedical Engineering, Environmental Health Sciences, Health Records Information Technology, and Medical Laboratory Sciences.

       b. Education and Vocational Training

           Diploma in Education (Physics and any other subject), Diploma in Education (Mathematics and any other subject), Diploma in Teaching (Technical and Vocational Education).

       c. Transport and Logistics

           Aircraft Mechanics, Ship Building and Repair, Railway Construction and Maintenance, Global Logistics and Supply Chain Management, Marine Transport and Nautical Science, Shipping and Logistic Management, Transport and Supply Chain Management, Naval Architecture and Offshore Engineering.

       d. Energy Engineering, Mining and Earth Science

           Renewable Energy Engineering (Hydro, Wind, Solar), Pipeline, Oil and Gas Engineering, Oil and Gas Engineering Technology, Environmental Engineering and Management, Lapidary and Jewelry, Mineral Processing, Geology and Mineral Exploration, Petroleum Geosciences and Exploration, Land and Mine Surveying, Metallurgy and Mineral Processing Engineering, Mining Engineering.

       e. Agriculture and Livestock

           Leather Technology, Food Technology and Human Nutrition, Sugar Production Technology, Sugarcane Production Technology, Veterinary Laboratory Technology, Horticulture, Irrigation Engineering na Agro Mechanization.

       f. Kozi nyinginezo

           ‘Energy Engineering’, ‘Mining & Earth Science’, na ‘Agriculture & Livestock’ ambazo hazikutajwa kwenye kipengele cha d na e hapo juu, wanaruhusiwa kuomba mkopo na watapimwa uhitaji wao wa mkopo kupitia kingámua uwezo.

KUMBUKA: Ili kuomba mkopo, tembelea: https://olas.heslb.go.tz/olams/pre-applicant

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Jumatano, Agosti 28, 2024