Higher Education Students' Loans Board
- Azungumzia kuongezeka kwa bajeti mikopo ya wanafunzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (leo Jumamosi, Machi 8, 2025) amehitimisha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa ngazi ya kitaifa na kuelezea jinsi serikali ........
Read More
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) leo Februari 17, 2025, amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Sal ........
Read More
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefanya mbio za hisani leo Februari 15, 2025 katika viwanja vya Farasi vilivyopo Oysterbay Jijini Dar es salaam kama sehemu ya maadhimisho ya miaka ishirini tangu kuanzishwa kwa HESLB.
Lengo la mbio hizo za hisani ni kuimarisha a ........
Read More
Mkuu wa Mkoa (RC) wa Dar es salaam, Mhe. Albert Chalamila amesema yupo tayari kushiriki katika maandalizi na maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa kutambua kuwa Bodi hiyo imewekeza kwenye maendeleo ya watu.
Mhe. Chalamil ........
Read More
Tunawatangazia wanafunzi wa stashahada watakaodahiliwa mwezi Machi (March Intake) kwamba dirisha la maombi ya mikopo ya stashahada litafunguliwa kuanzia tarehe 15/01/2025 hadi tarehe 15/02/2025.
Wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo katika maeneo m ........
Read More