The United Republic of Tanzania
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD

Dirisha la rufaa kuwa wazi kuanzia Novemba 13-23, 2019


Soma na fuata hatua muhimu kuwasilisha rufaa yako
1.    Tembelea olas.heslb.go.tz na bofya ‘Appeal Now’
•    Visit olas.heslb.go.tz and click ‘Appeal Now’


2.    Jisajili and ingia kwenye akaunti yako kwa Namba ya Kidato cha IV
•    Register and Login yourself using your Form IV Index No


3.    Bofya na jaza vipengele vyote vyenye alama ‘x’ nyekundu upande wa kushoto
•    Click and fill all fields with ‘X’ appearing on the left side of the screen


4.    Thibitisha taarifa kwa kubofya ‘Confirm’ kwa kila kipengele
•    Confirm your details by clicking ‘Confirm’ button 


5.    ‘Print’ fomu ya rufaa uliyokamilisha kwenye mfumo kwa ajili ya kusaini
•    Print your form and make sure it is signed


6.    Pakia ukurasa wa 3 wa fomu yako iliyosainiwa
•    Upload page No. 3 of your signed form


7.    Wasilisha fomu yako mtandaoni na tunza nakala ngumu kwa kumbukumbu
•    Submit your form online and keep hard copy for your reference


8.    Kumbuka, hakuna ada ya maombi ya kukata rufaa
•    No fee for appeal processing


Kwa kuwa uchambuzi wa maombi ya wanafunzi wanaoendelea na masomo (mwaka wa 2, 3, 4 n.k) unaendelea, wanaruhusiwa pia kuomba

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
Dar es salaam
Jumatano, Novemba 13, 2019