|
Bodi mpya ya Wakurugenzi yazinduliwa |
|
|
|
|
Tuesday, 23 August 2011 15:12 |
|
Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imezinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Dk. Shukuru Kawambwa.
|
|
Last Updated on Monday, 29 August 2011 10:44 |
|
Read more...
|