Higher Education Students' Loans Board

 • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

 • General call +255 22 286 4643

 • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

FAQ

Maswali Kuhusu Utoaji Wa Mikopo

HESLB loan application and allocation

Popular Questions

Mwombaji;

 • Awe mtanzania
 • Awe ameomba mkopo kwa utaratibu ulioelekezwa (online)
 • Awe amepata udahili (admission) kwenye chuo kinachotambuliwa na jina lake kuwasilishwa Bodi ya Mikopo
 • Asiwe na chanzo kingine cha kugharamia masomo yake ya chuo kikuu (mfadhili, ZHELB n.k)
 • Maelezo ya kina kuhusu sifa na vigezo hutolewa na Mwongozo

 

 

 • Maombi yote yanafanywa kwa njia ya mtandao wa Bodi ya Mikopo  
 • Kila mwombaji anapaswa kusoma kwa makini mwongozo unaotolewa ndani ya mwaka husika wa masomo
 • Mwombaji atumie namba ya mtihani wa kidato cha nne kujisajili 
 • Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji kilichothibitishwa na RITA/ZCSRA
 • Cheti cha kifo ikiwa umepoteza mzazi kilichothibitishwa na RITA/ZCSRA
 •  iKitambulisho cha mdhamini (NIDA, Mpiga Kura, Leseni ya Udereva au Pasi ya Kusafiria). Unaweza kutumia kimoja kati ya vitambulisho hivi
 • Fomu ya ufadhili iliyojazwa kwa usahihi ikiwa ulifadhiliwa katika masomo ya sekondari
 • Barua ya Mganga Mkuu wa Wilaya au Mkoa ikiwa mwombaji au mzazi wake ana ulemavu vii.
 • Picha (passport size) za mwombaji wa mkopo na mdhamini wake (mdhamini anaweza kuwa mzazi au mlezi)
 • Fursa ya kukata rufaa hutolewa baada ya kukamilisha zoezi la kupanga mikopo
 • Ikitokea mwombaji akakosa kwenye rufaa, atapata fursa ya kuomba tena kwa mwaka unaofatia

General Questions

 • Hakikisha umesaini fomu ya maombi ya mkopo
 • Hakikisha mdhamini wako amesaini fomu yako katika eneo lake
 • Hakikisha fomu yako imesainiwa na kugongwa mihuri na Serikali ya Mtaa au Kijiji chako
 • Hakikisha fomu yako imesainiwa na mwanasheria au hakimu kuthibitisha taarifa zako na za mdhamini wako
 • Chakula na malazi
 • Ada ya mafunzo
 • Vitabu na viandikwa
 • Mahitaji maalumu ya kitivo
 • Utafiti
 • Mafunzo kwa vitendo
 • Taarifa zote kuhusu mikopo ya elimu ya juu hupatikana kupitia tovuti ya Bodi ya Mikopo
 • Kwa wanafunzi waliopo vyuoni, kila chuo kina afisa anayesimamia masuala ya mikopo.Ulizia, ofisi yake na atakuhudumia
 • Kuwasilisha taarifa zake kwa afisa mikopo (Namba ya usajili na taarifa za benki)
 • Kusaini malipo yanayotumwa chuoni kwake ndani ya muda uliopangwa
 • Kutoa taarifa kwa afisa mikopo wa chuo chake mapema, kama kuna tatizo lolote linalohusiana na mkopo wake
 • Kutembelea tovuti ya HESLB ili kupata taarifa mbalimbali za mikopo ya elimu ya juu